BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Zaidi ya watu 700 wanaaminika kufa kutokana na mafuriko Nigeria
Mafuriko hayo, yanayosemekana kuwa mabaya zaidi katika eneo hilo kwa miaka 60, yalikumba miji ya Tiffin Maza na Anguwan Hausawa baada ya mvua kubwa kunyesha.
Ndoa tano za wasanii wakubwa duniani zilizofungwa kimya kimya
Harusi za faragha hazina shinikizo kubwa, kwani hakuna muda wa kuzingatia matarajio ya wengine, ili kukidhi masilahi ya mashabiki. Na hilo huzifanya harusi hizi kuwa na gharama ndogo pia.
Mashambulizi ya droni ya Ukraine yatuma ujumbe muhimu kwa Urusi na Magharibi
Kwa kuzingatia maelezo yaliyofichuliwa na vyombo vya habari na shirika la ujasusi wa kijeshi la Ukraine (SBU), operesheni ya hivi karibuni ndiyo yenye mafanikio zaidi kufikia sasa.
'Usuhuba wa Kabila na M23' ni suluhu ya mzozo wa DRC au kivuli kipya cha vita vya muda mrefu?
Rais wa zamani DRC Joseph Kabila amekuwa mjini Goma mashariki mwa nchi hiyo, eneo linalodhibitiwa na waasi wa M23, hatua iliyoibua maswali kuhusu hatma ya suluhu ya muda mrefu ya mzozo unaendelea nchini humo.
Tunayofahamu kuhusu sheria ya ardhi ya Afrika Kusini inayomkera Trump
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa yuko katikati ya dhoruba ya kisiasa baada ya kuidhinisha sheria ambayo inaipa serikali mamlaka ya kuchukua baadhi ya ardhi inayomilikiwa na watu binafsi bila kuwalipa fidia.
Mwanaharakati wa Kenya azuiliwa kwa kubuni mtandao wa kupinga mswada wa fedha wa 2025
Njeri ambaye ni mfanyabiashara na mtaalamu wa masuala ya fedha, alitumia ukurasa wake wa mtandao wa X kutoa mafunzo kwa Wakenya kuhusu yaliyomo kwenye mswada huo wa fedha 2025
Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu: Je, Barcelona itafanikiwa kumsajili Partey?
Barcelona inataka kumsajili kiungo wa Arsenal Thomas Partey, Liverpool iko tayari kuwasilisha ombi la kumsajili beki wa Bournemouth, Milos Kerkez, huku Everton ikimnyatia Matt O'Riley wa Brighton.
Kwa nini baadhi ya watoto hukata uhusiano na wazazi wao?
Kuna wakati wazazi wetu wanakuwa wazee na dhaifu. Hapo tunatakiwa, kuonyesha subira na rehema zaidi kwao.
Ukraine yazishambulia na kuziteketeza ndege 40 za kivita za Urusi
Ukraine inadai kuzipiga takriban ndege 40 za Urusi 40, katika kile kinachoonekana kuwa moja ya mashambulizi makali zaidi hadi sasa kwenye anga za Urusi.
Mawakili wa Tundu Lissu wapiga hodi Umoja wa Mataifa
Mawakili wa Kiongozi wa Upinzani nchini Tanzania aliyepo mahabusu, Tundu Lissu jana Ijumaa waliwasilisha malalamiko yao kwa Jopo Kazi la Umoja wa Mataifa wakipinga kuendelea kushikiliwa kwake
Jinsi nchi za Magharibi zinavyoisaidia Urusi kufadhili uvamizi wake nchini Ukraine
Urusi inaendelea kupata mabilioni kutokana na mauzo ya mafuta na gesi inayouzwa nchi za Magharibi, kulingana na data iliyochambuliwa na BBC
Kwanini wanasayansi wanajiandaa kwa janga lingine la afya?
Virusi vya wanyama vinaenea karibu kila bara - hii ndio sababu hali ni tofauti wakati huu.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Gumzo mitandaoni
Silaha mpya ya kutisha inayobadilisha vita nchini Ukraine
Harufu kali imetanda kwenye mji wa Rodynske. Dakika chache baada ya kuingia mjini, tunatazama inatoka wapi.
Kuomba radhi kwa Marais Ruto na Museveni ni mwanzo mpya au danganya toto?
Katika matukio nadra sana kutokea, marais William Ruto wa Kenya na Yoweri Museveni wa Uganda wameomba msamaha. Lakini nini hasa kilitokea?
Nyuma ya mitandao na giza la uhalifu, unyama na unyanyasaji
Matukio ya mauaji ya halaiki, unyanyasaji wa kingono kwa watoto, na matamshi ya chuki, aina hii ya maudhui inafurika kwenye barua pepe za waangalizi wa maudhui ya mtandaoni.
'Walitupiga na kutubaka barabarani hadharani'
Wanawake na wasichana katika jimbo la Darfur nchini Sudan wako katika hatari ya kukabiliwa na ukatili wa kingono, shirika la matibabu lisilokuwa na mipaka Médecins Sans Frontières (MSF) limeonya.
Fahamu vita vya nyuklia vilivyoitikisa dunia
Hadi kufikia sasa, silaha za nyuklia zimetumiwa mara moja tu katika mapigano ya kijeshi mwaka wa 1945 wakati Marekani ilipodondosha mabomu ya nyuklia huko Hiroshima na Nagasaki nchini Japani.
Wanaume wa aina gani wako hatarini zaidi kupata saratani ya tezi dume?
Saratani hii huwapata zaidi wanaume wazee wenye umri wa zaidi ya miaka 75. Ni nadra sana kwa wanaume walio chini ya umri wa miaka hamsini.
Wanaharakati maarufu wanaozikosesha usingizi nchi zao Afrika Mashariki
Askofu mmoja wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Benson Bagonza anatafsiri uanaharakati kama imani na ushawishi katika jambo fulani analosimamia mtu na kulipigania.
Je, Tanzania iko tayari kwa umeme wa nyuklia?
Kwa sasa, zaidi ya mataifa 30 duniani yanatumia madini ya urani kuzalisha umeme, wakati huo huo Tanzania ikithibitisha kuwepo kwa zaidi ya 58,000 za urani nchini humo
'Hakuna mahali salama' - Raia waliokwama kati ya waasi na wanajeshi
Mapambano ya kutaka kujitenga yanatokana na malalamiko ya muda mrefu ambayo yanaanzia wakati wa uhuru mwaka 1961, na kuundwa kwa taifa moja la Cameroon mwaka 1972 kutoka maeneo ya zamani ya Uingereza na Ufaransa.
Yafahamu matunda hatari zaidi duniani
Matunda ni ovari zilizokomaa, zilizoiva za mimea ya maua ambayo humiliki mbegu na mara nyingi ni chakula kitamu.
Michezo
Afya yako
Waridi wa BBC
Sikiza / Tazama
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 3 Juni 2025, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 2 Juni 2025, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 2 Juni 2025, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 2 Juni 2025, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani