Kuhusu Idhaa ya Kiswahili ya BBC
Idhaa yetu inaajiri waandishi wa habari na watangazaji kutoka nchi zote zinazozungumza Kiswahili na vilevile katika sehemu nyingine za Afrika.
Mhariri: Caroline Karobia.
Waandishi waandamizi:
Ruth Nesoba
Odhiambo Joseph
Peter Mwai
Nairobi, Kenya:
Waandishi wa mtandaoni: Seif Abdalla na Idris Situma
Watangazaji: Ng'endo Angela, Gladys Njoroge, Shaaban Ndege, Jason Nyakundi, Robert Kiptoo, Dinah Gahamanyi, Muliro Telewa, Dayo Yusuf, John Nene na Odeo Sirari.
Waandishi wa Habari: Emmanuel Igunza, Wanyama Chebusiri, Ferdinand Omondi, Anne Soy, Jamhuri Mwavyombo, Abdinoor Aden na Bashkas Jugsoday.
Global News Beat:- Anthony Irungu [Nairobi] na Paula Odek [Nairobi]
Dar es Salaam, Tanzania:
Watangazaji: John Solombi, Regina Mziwanda, Lizzy Masinga, Halima Nyanza na Leonard Mubali
Waandishi wa Habari mjini Dar es Salaam:
Aboubakar Famau, Tulanana Bohela, Kulthum Maabad na Esther Namuhisa
Uganda:
Siraj Kalyango
Burundi:
Ismail Misigaro
Rwanda:
Yves Bucyana
Afrika ya Kusini:
Omar Mutasa